-
1
Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''.
Published 2023“…Mradi huu wa tamthilia umepewa anwani ya " kiza cha mchana " kimaksudi. K wa kawaida kiza hujitokeza wakati wa usiku lakini siyo wakati wa mchana kwa hivyo kiza kikijitokeza mchana kuna maana kwamba kuna kitu ambacho hakiko sawa. …”
Get full text
Thesis -
2
Uchanganuzi Wa Utabaka Katika Tamthilia Ya Kilio Cha Haki Ya Alamin Mazrul.
Published 2024“…Kwa sababu katikajamii nyingi kuna makabaila, kuna wale ambao waweza afadhali kukidhi mahitaji yao na kuna wale ambao hawajiwezi kabisa . Unapochunguza katika tamthilia ya Kilio cha Haki ya Ali Mazrui kuna makundi ya watu mbalimbali kama vile; wanacho, wanaojikidhi kimaisha na wasiojiweza . …”
Get full text
Thesis -
3
-
4
Replication Study of “Visual Fixation on the Thorax Predicts Bystander Breathing Detection in Simulated Out-of-Hospital Cardiac Arrest”
Published 2024-04-01“…Baada ya uigizaji wa kwanza (mgao wa awali), washiriki waligawiwa kwa nasibu kwa uingiliaji wa mazungumzo ya video na (kikundi cha majaribio) au bila (kikundi cha kudhibiti) safu yao ya macho iliyorekodiwa, ambayo walikagua tabia yao ya uchunguzi wa kifua. …”
Get full text
Article -
5
Mchango wa Fasihi Andishi ya Kiswahili Katika Kukuza Stadi za Uandishi Lugha ya Kiswahili kwa Wanafunzi wa Shule za Upili Katika Munisipali ya Kabale Wilayani Kabale.
Published 2025“…Fasihi andishi ni sehemu muhimu ya utamaduni na elimu, na inachangia pakubwa na uelewa wa wanafunzi.Mbinu za utafiti zilizotumiwa ni mbinu ya maktaba, mbinu ya hojaji, mahojiono, sampuli lengwa, mbinu za ukusanyaji wa data iliyotumika kutafuta data kwa shule za upili mbalimbali, kusoma kazi ya watafiti wengine nakusoma nyaraka mbalimbali katika maktaba ya chuo kikuu cha kabale.Fasi andishi inajumuisha Vitabu, Riwaya, Tamthilia, Hadithi fupi, Novela, Ushairi, na maandiko mengine ambayo yameandikwa kwa lugha ya Kiswahili.Inatoa mifano halisi ya matumizi sahihi ya lugha, muundo wa sentensi, na mbinu mbalimbali za uandishi. kwa wanafunzi wa shule za upili, kusoma fasihi andishi kunaweza kuwasaidia kuelewa vizuri kanuni za uandishi kama vile matumizi ya sarufi sahihi, mtindo wa kuandika, na jinsi ya kuwasilisha Mawazo yao kwa uwazi. …”
Get full text
Thesis -
6
Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
Published 2025“…Utafiti umebaini kuwa chanzo cha dosari hizo ni pamoja na uhamishaji, athari za lugha ya Kichiga, utamaduni wa Kichiga na ukakamaaji. …”
Get full text
Thesis