Showing 21 - 27 results of 27 for search 'Madhumati~', query time: 2.08s Refine Results
  1. 21

    The combined modelling of dynamic systems control by Robertas Alzbutas, Vytautas Janilionis

    Published 1999-12-01
    “…This software allows formalization and modelling of different parts of the same system using different aggregate and dynamic mathemati­cal modelling schemes (A-scheme and  D-scheme). …”
    Get full text
    Article
  2. 22

    Changamoto Zinazokumba Wa Nafunzi Wa Vyuo Vya Juuwila Yani Kabale Nchiniuganda. by Ayebare, Rabecca

    Published 2024
    “…Chanagamoto zinazowak:umba wanafunzi katika vyuo zilichunguzwa kwa kuangalia jinsia, miaka pamoja kozi mbali mbali zinazoshughulikiwa na wanafunzi mbali mbali katika vyuo vilivyofanyiwa uchunguzi katika somo hili.Madhumuni ya uchunguzi huu yalikuwa Kutambua asili ya changamoto zinazokumba wanafunzi katika vyuo, Kuchunguza jinsia ya wanafunzi ambao wanakumbwa hasana changamoto hizo nchini Uganda pamoja na Kubainisha njia za kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanafunzi katika vyuo vya juu nchini Uganda kwa kulenga wilaya ya Kabale. …”
    Get full text
    Thesis
  3. 23

    Uchunguzi wa Changamoto za Kufundisha Fasihi ya Kiswahili kwa Wanafunzi wa Kiwango cha Chini Katika Shule za Upili Zilizochaguliwa Wilayani Kabale. by Nabasa, Mackline

    Published 2025
    “…Utafiti huu umefanywa Wilayani Kabale. Madhumuni ya utafiti yalikuwa; kuchunguza changamoto za kufundisha fasihi ya Kiswahili Kwa wanafunzi wa kiwango cha chini katika shule zilizochaguliwa wilayani Kabale. …”
    Get full text
    Thesis
  4. 24

    Uchunguzi wa Sababu za Kuwapo Kwa Wanafunzi Wachache Wanaolichagua Somo la Kiswahili Katika Kiwango Cha “A” Nchini Uganda: Mfano wa Shule za Upili Wilayani Rukungiri. by Mpobwengye, Horeb

    Published 2025
    “…Dhamira ya utafiti ni kueleza bayana kwa nini wanafunzi wengi nchini Uganda huwa hawachukui somo la Kiswahili katika kiwango cha “A”. Madhumuni ya utafiti huu ni kueleza mielekeo ya wanafunzi wa shule za sekondari nchini Uganda dhidi ya ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili na Kupendekeza njia mbalimbali za kuondokana na sababu za kuwapo kwa wanafunzi wachache wanaolichagua somo la kiswahili katika kiwango cha “A” katika shule za upili wilayani Rukungiri. …”
    Get full text
    Thesis
  5. 25

    Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. by Atwijukire, Beatrice

    Published 2025
    “…Data zilikusanywa na kupangiliwa vizuri kulingana na mada kuu na ndogondogo ambazo zilibuniwa kutoka Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani kwa kuzingatia madhumuni mahususi ya utafiti huu. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba mbinu za ucheshi kama majina ya majazi, misemo, taswira za kuchekesha, tanakali sauti, uradidi, na utohozi zinajitokeza kwa namna mbalimbali katika Diwani hizi mbili. …”
    Get full text
    Thesis
  6. 26
  7. 27