-
1
Methali Kama Kielezo Cha Shughuli Katika Jamii Ya Wahororo/ Wakiga Wilayani Rukungiri Nchini Uganda.
Published 2024Subjects: Get full text
Thesis -
2
-
3
Uchanganuzi Linganishi wa Wahusika wa Kike Katika Riwaya ya Usiku Utakapokwisha na Riwaya ya Nguu Za Jadi.
Published 2024“…Mtafiti ametumia mbinu ya uchambuzi matini na ushuhudiaji katika kukusanya data za utafiti. Matokeo yote kama wahusika wa kike kama vile Mangwasha mhusika mkuu katika riwaya nzima, Mbungulu na Mbwashu katika riwaya ya Nguu za Jadi.Vile vile kuna mhusika Nelli, Koleta na Klotilda ambao ni muhimu kataika riwaya ya Usiku Utakapokwisha, utofautiano wa matendo ya wahusika ni kama uvivu, ufanya kazi, kushauri, kutukana na kuleta mabadiliko na ufanano wa lugha ni kama lugha nyororo na lugha yenye hisia. …”
Get full text
Thesis -
4
Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese.
Published 2024“…Utafiti ulitumia watu 40 kama saizi ya sampuli kutoka kwa watu 60 waliolengwa. …”
Get full text
Thesis -
5
Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese.
Published 2024“…Utafiti ulitumia watu 40 kama saizi ya sampuli kutoka kwa watu 60 waliolengwa. …”
Get full text
Thesis -
6
Uchanganuzi Wa Utabaka Katika Tamthilia Ya Kilio Cha Haki Ya Alamin Mazrul.
Published 2024“…Tabaka la walionacho hujumuisha wahusika kama; Delamon, Tereki, Shindo, Matovu, Zari na Kimbo na tabaka la wasionacho hujumuisha wahusika kama; Lanina, Dewe, Musa na wengine. …”
Get full text
Thesis -
7
Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''.
Published 2023“…Matatizo hapa amechorwa kama maskini, mvumilivu, ili kuwapa watu kama hawa mfano mzuri. …”
Get full text
Thesis -
8
Ulinganishaji wa Maisha Katika Tamthilia ya Mizigo Na Ya Jamii Wilayani Mbarara.
Published 2024“…Kwa hiyo,kwa maoni yetu, ni sawa kabisa kufasili Jamii kama mkusanyiko au kundi la watu waliokusanyika sehemu fulani kama kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda na taifa. …”
Get full text
Thesis -
9
Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
Published 2025“…Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. …”
Get full text
Thesis -
10
Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
Published 2024“…Matokeo ya utafiti huu yamewasilishwa kwa mtiririko kama malengo ya utafiti katika sura ya kwanza yalivyobainishwa mtawalia. …”
Get full text
Thesis -
11
Changamoto Za Mtalaa Mpya Katika Ufundishaji Wa Lugha Ya Kiswahili Kwa Walimu Shule Za Upili, Wilayani Kasese.
Published 2024“…Kuhusu mikakati ya kuweza kufanikisha ufundishaji katika mtalaa mpya hno ni kuwaruhusu wanafunzi kutumia Kiswahili katika mawasiliano yao ya kila siku, kutumia vifaa halisi na walimu kama vya kiteknolojia, kufundisha sarufi vilivyo. …”
Get full text
Thesis -
12
Analysis of the possible consequences of large-scale production of sand and gravel mixture in the downstream of large hydroelectric facilities based on hydrodynamic modeling (the V...
Published 2021-08-01“…The authors have presented estimation of possible hydraulic consequences of the large-scale mining of sand/gravel mixtures in the upper part of the Lower Kama Reservoir 9the Votkinsk Reservoir downstream) based on the multi-version computation experiments with the developed hydro/dynamic model of the water body under consideration. …”
Article -
13
Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
Published 2025“…Pia utafiti unaweza kufanyika kwa kutumia nadharia nyingine kama vile nadharia ya ufeministi.…”
Get full text
Thesis -
14
spatial-temporal transformation of the volga reservoirs’ soil complex. communication 7. sediment formation in the highly running reservoirs of the volga cascade
Published 2021-08-01“…All reservoirs of the Volga-Kama cascade belong to this type of reservoirs, except the Cheboksary and Saratov reservoirs with Кw about 20 year-1. …”
Article -
15
Uchanganuzi Linganishi wa Nomino za Kiswahili na Zile za Kinyankore- Kikiga.
Published 2025“…Wanafunzi walihakikisha kuwa hawakuwa na vitabu vya kurejelea walipoambiwa kufanya uchunguzi huu na kwa hivyo, kulikuwa haja ya tafiti kama hizi kufanywa na baadaye vitabu kuandikwa kusaidia watu kuelewa na kujifuza lugha zao.…”
Get full text
Thesis -
16
Usawiri Wa Mwanamke Katika Methali Za Kikonzo.
Published 2024“…Methali mbali mbali za Kikonjo zilikusanywa na kutengenezewa tafsiri isiyo rasimi katika Kiswahili ili kutimiza lengo la kwanza.Ili kufikia lengo la pili, uchunguzi makinifu ulifanywa na mtafiti akishirikiana na wazee ili kuona jinsi mwanamke anavyosawiriwa katika methali hizo kwa mfano kama asiye na mapenzi ya dhati, chombo cha starehe, mtumwa, mvivu, na mtu asiye na siri na kadhalika. …”
Get full text
Thesis -
17
KISWAHILI NA MAENDELEO YA KILIMO
Published 2020“…Kilimo ni asasi maalumu ambayo haiwezi kuepukika katika uhalisia wa maisha ya binadamu.Ni miongoni mwa asasi ambazo zinachangia pakubwa katika maendeleo ya nchi yoyote ile.Mahali ambapo tumefikia ni vigumu kuangalia tu nchi moja ila kuangalia maendeleo ya Afrika Masahriki kwa jumla.Maendeleo huanzia pale ambapo jamii ina uhusiano wa mawasiliano na utamaduni.Afrika Mashariki lugha mwafaka ambayo inawezesha mendeleo ya kilimo ni Kiswahili.Kiswahili kinauwezo wa kuelezea kwa kina maswala mengi na kueleweka juu ya uimarishaji wa kilimo.Ukulima hauwezi kuepukika,iwe ni wa kiwango cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ama ukulima kama mfumo wa biashara.Tangu kuanzishwa kwa matumizi ya Kiswahili katika asasi mbali mbali,Kuna mambo mangine maandishi mengine yamebakimkatika lugha ya kigeni na hakuna ufafanuzi wowote katika Kiswahili. …”
Get full text
Article -
18
Uchunguzi Linganishi wa Usawiri wa Mwanamke Katika Jamii ya Wanyankore na Tamthilia ya Mama Ee Ya Ari Katini Mwachofi.
Published 2024“…Sampuli ya watu kumi na watano yaani wanawake watano kutoka kila kijiji teule katika kata la Ruhaama ndio walifanya kama watoa taarifa pia data nyingine zikatolewa kwa tamthilia ya Mama ee iliyoandikwa na Ari Katini Mwachofi. …”
Get full text
Thesis -
19
Uamilifu wa Sifa katika Mfumo wa Fonimu Konsonanti za Kiswahili.
Published 2024“…Kwa ujumla, misingi hii inashirikiana kuukilia kaida za mfumo wa fonimu za Kiswahili kama uelekeo wa msambao wa fonimu na nafasi za kutamkia. …”
Get full text
Article -
20
Uhakiki Wa Mtindo Wa Lug Ha Ka Tika Riwaya Ya Ndoto Ya Almasi Na Ken Walibora.
Published 2024“…Japo huu ndio ukweli, tafiti nyingi zilizofanywa hazijaangazia mtindo kama kipengele kinachojisimamia na tena maarufu katika kufafanua maudhui.Vipengele vya kimtindo pia vina ushirikiano na uhusiano mkubwa katika kupitisha ujumbe uliokusudiwa katika kazi ya kisanaa. …”
Get full text
Thesis