-
21
Chang Am Oto Za Utekelezaji Wa Programu Ya Kisw Ahili Kwa Wanafunzi Wa Utalii Tukilenga Chuo Kikuu Cha Kabale.
Published 2024“…Utafiti huu utakuwa na malengo yatakayouongoza katika ukusanyaji wa data uwanjani kama nia ambayo ilinisudia kuchagua mada hii ya utafiti. …”
Get full text
Thesis -
22
Mchango wa Fasihi Andishi ya Kiswahili Katika Kukuza Stadi za Uandishi Lugha ya Kiswahili kwa Wanafunzi wa Shule za Upili Katika Munisipali ya Kabale Wilayani Kabale.
Published 2025“…Fasihi andishi ni sehemu muhimu ya utamaduni na elimu, na inachangia pakubwa na uelewa wa wanafunzi.Mbinu za utafiti zilizotumiwa ni mbinu ya maktaba, mbinu ya hojaji, mahojiono, sampuli lengwa, mbinu za ukusanyaji wa data iliyotumika kutafuta data kwa shule za upili mbalimbali, kusoma kazi ya watafiti wengine nakusoma nyaraka mbalimbali katika maktaba ya chuo kikuu cha kabale.Fasi andishi inajumuisha Vitabu, Riwaya, Tamthilia, Hadithi fupi, Novela, Ushairi, na maandiko mengine ambayo yameandikwa kwa lugha ya Kiswahili.Inatoa mifano halisi ya matumizi sahihi ya lugha, muundo wa sentensi, na mbinu mbalimbali za uandishi. kwa wanafunzi wa shule za upili, kusoma fasihi andishi kunaweza kuwasaidia kuelewa vizuri kanuni za uandishi kama vile matumizi ya sarufi sahihi, mtindo wa kuandika, na jinsi ya kuwasilisha Mawazo yao kwa uwazi. …”
Get full text
Thesis -
23
Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
Published 2025“…Ni jambo la wazi kuwa uchumi duni hufanya nchi ikose kupata maendeleo ilhali uchumi imara hufanya nchi iwe na maendeleo. Nchi zenye nguvu kama vile Marekani na zile za Ulaya zimeweza kupata maendeleo makubwa kwa sababu ya kuwa na uchumi imara. …”
Get full text
Thesis -
24
Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
Published 2025“…Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba mbinu za ucheshi kama majina ya majazi, misemo, taswira za kuchekesha, tanakali sauti, uradidi, na utohozi zinajitokeza kwa namna mbalimbali katika Diwani hizi mbili. …”
Get full text
Thesis -
25
Rethinking Language
Published 2024-09-01“…Hali hii hujitokeza zaidi katika ngazi ya elimu ya msingi, ambapo lugha ambayo watoto wanaifahamu mara nyingi inatofautiana na lugha rasmi ya kujifunzia na kufundishia. Kwa kutumia Tanzania kama kifani cha uchunguzi, makala hii inajadili umuhimu wa kuwa na mtaala unaozingatia lugha katika mafunzo ya ualimu katika ngazi zote hususani katika ngazi ya elimu ya msingi. …”
Get full text
Article -
26
Uvulivuli wa Tafsriri kutoka Lugha za Asili kwenda Lugha ya Kiswahili Mfano wa Albamu ya Kikinga ya Sumasesu Theatre Art Group.
Published 2024“…Kutokana na uvulivuli huo, makala yanapendekeza utafiti mwingine na mpana zaidi kufanyika kuhusu tafsiri za kutoka lugha za asili kwenda lugha ya Kiswahili kutumia data pana zaidi. Utafiti kama huo ukifanyika unaweza kubadili mtazamo wa wana nadharia kwamba, uvulivuli wa tafsiri ni tokeo la wafasiri kutojua lugha wanazozishughulikia au tofauti za kiisimu kati ya lugha chanzi na lugha lengwa; kwa sababu kiisimu Kikinga na Kiswahili zote ni lugha za Kibantu na pia waliofasiri nyimbo hizo ni wazawa wa Kikinga na ambao sio wazawa wa Kiswahili.…”
Get full text
Article